Analyse @rose_mayemba's tweets
@rose_mayemba
| 33,413 followers
Nadhani mama yetu ana tatizo la kusahau. Mama tunakukumbusha tu kwamba hilo gari bovu linalokuangukia mlilitengeneza wewe na Magufuli. Wakati mkitengeneza wapinzani tulipiga kelele sana lakini hamkusikia.Wacha likuangukie, Ukifanikiwa kujiokoa njoo tuungane kuisaka KATIBA MPYA. https://t.co/t7mystrEbS