Analyse @mdudechadematz's tweets
@mdudechadematz
| 111,830 followers
Leo nimempelekea Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kitabu cha MIAKA MITANO YA MATESO KATIKA HARAKATI baada ya kuweka oda yake. Ananiambia ni Aluta continue na jogoo hafi kwa utitiri. Unaweza kuweka oda au kulipia kitabu hiki kwa simu 0767654303 au 0710879487. https://t.co/57FI9BZf1M