Analyse @wasafifm's tweets
Klabu ya Manchester City @ManCity wameibuka mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza msimu wa 2021/22 baada ya kuichapa Aston Villa mabao 3-2 na kumaliza ligi wakiwa na alama 93 juu ya Liverpool wenye alama 92 baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Wolves.
#WasafiSports https://t.co/rDaBJPBARx
#WasafiSports https://t.co/rDaBJPBARx