Analyse @SikilizaTogolan's tweets
@SikilizaTogolan
| 48,506 followers
"Roho yako ikisita usiharakishe kutenda. Mara nyingi maanguko yetu hutokana na kudharau sauti ya mnong'ono ndani ya mioyo yetu. Njia nzuri ni kuahirisha uamuzi ujipe muda kutafakari na kujiuliza tena. Yaweza kuwa salama yako." ~Togolani Mavura. https://t.co/bQn6vayoM3