Analyse @privaldinho's tweets
@privaldinho
| 694,273 followers
“Nawapongeza @yangasc1935 kwa namna walivyosherehekea ubingwa wao kama vilabu vya ulaya. Tunapaswa kuona matukio mengi kama haya. Matukio kama haya yanaonesha hamasa na upendo kutoka kwa mashabiki. Uzuri wa soka la Afrika” @TheRealPitso https://t.co/7RZZBwPVUT