Analyse @mounthanang's tweets
@mounthanang
| 3,084 followers
@George_Ambangil Back Three ni Rahisi zaidi maana inakuwa 3-5-2 wakati wa mashambulizi inarudi 5-3-2 left wing na right wing zinarudi kucover Full back ya kushoto na kulia hivyo kufanya number ya walinzi kuongezeka tofauti na back 4 inakuwa automatic 4 defence in attacking or defensing