Analyse @SuluhuSamia's tweets
@SuluhuSamia
| 1,520,434 followers
Nawatakia kheri Watanzania wote katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru. Imekuwa safari yenye changamoto na mafanikio mengi ambayo Taifa letu linajivunia. Tutumie siku hii kutafakari na kuweka dhamira ya kuongeza juhudi na maarifa ya kulipeleka Taifa letu mbele na kwa kasi zaidi. https://t.co/3piL8tsXLN