Analyse @eastafricatv's tweets
@eastafricatv
| 1,642,699 followers
TUNA SHIDA YA AFYA YA AKILI
Kufuatia uwepo wa watu wenye tatizo la afya ya akili nchini, @rollymsouth ameshauri ipo haja ya msingi tatizo hilo likachukuliwa kwa uzito, jamii iponywe ili kuondokana na vitendo vya ukatili kwenye jamii.
#Mjadala
#EastAfricaTV https://t.co/N2g3lwgOG1