Analyse @MrishoZakia's tweets
@MrishoZakia
| 1,168 followers
Wawakilishi wa makundi wakifanya uwasilishaji wa mawazo baada ya majadiliano ya makundi juu ya mbinu na taratibu za kufanya wakati wa uainishaji wa vituo vya Afya vinavyotoa huduma na elimu ya Afya ya uzazi, wilaya ya Temeke.
#ImarikaTz
#MachingaNaAfyaYaUzazi
#MachingaNaSera https://t.co/BaCdkaO9kP
#ImarikaTz
#MachingaNaAfyaYaUzazi
#MachingaNaSera https://t.co/BaCdkaO9kP