Analyse @mulika255's tweets
@mulika255
| 2,504 followers
Winfrida Mponzi, mratibu wa Afua ya Imarika akiwasilisha Dodoso maalum litakalotumiwa na Wamachinga wakati wa utambuzi na uainishaji wa vituo vya Afya vinavyotoa huduma na elimu ya Afya ya Uzazi.
#ImarikaTz
#MachingaNaAfyaYaUzazi
#MachingaNaSera https://t.co/4D3TfyxapC
#ImarikaTz
#MachingaNaAfyaYaUzazi
#MachingaNaSera https://t.co/4D3TfyxapC