Analyse @KiondoJr_'s tweets
@KiondoJr_
| 616 followers
Vikundi vya majadiliano kwa Wamachinga wakijadili namna ya utekelezaji wa zoezi la kuanisha vituo vya Afya vinavyotoa huduma na elimu ya Afya ya Uzazi. Majadiliano yamehusisha mbinu na utaratibu wa kuchukua wakati wa zoezi hilo.
#ImarikaTz
#MachingaNaAfyaYaUzazi
#MachingaNaSera https://t.co/xftJovOTtF
#ImarikaTz
#MachingaNaAfyaYaUzazi
#MachingaNaSera https://t.co/xftJovOTtF