Analyse @nulphin's tweets
@nulphin
| 34,436 followers
Celine wewe sio MD wewe ni mwanafunzi wa Udaktari mwaka wa 4 MD4 Muhimbili hata intern hujaenda ni kosa kusaini fomu za BIMA kwa designation ya MD you are not a medical Doctor. Sasa unaenda mbali zaidi na kuanza kuvujisha siri za wagonjwa taarifa zao na kua eti wanakutongoza. https://t.co/cLt4JpXgM8