Analyse @Mastermark45's tweets
@Mastermark45
| 1,828 followers
UKARABATI WA VITUO VYA AFYA
Kwa mwaka wa fedha 2023/24 Serikali imepanga kukarabati Vituo vya Afya 50 kupitia mfuko wa afya Utahusisha Vituo vya kutoa huduma za dharura na upasuaji kwa mama mjamzito
Itasaidia kuokoa maisha ya kina mama wajawazito na watoto. #MamaYukoKazini https://t.co/jVtkNc7z7L