Analyse @VwalaViola's tweets
@VwalaViola
| 15,242 followers
Dr. Magdalena Honest muelimisharika na Afisa Afya wilaya ya Temeke. Amewakumbusha Wamachinga juu ya maswala ya Afya ya uzazi. Moja ya Mambo hayo ni matumizi ya Kinga, uzazi wa mpango na huduma za dharula kwa wanawake.
#ImarikaTz
#MachingaNaAfyaYaUzazi
#MachingaNaSera https://t.co/HgnkIMTwE7
#ImarikaTz
#MachingaNaAfyaYaUzazi
#MachingaNaSera https://t.co/HgnkIMTwE7