Analyse @ayubu_madenge's tweets
@ayubu_madenge
| 276,587 followers
Kesho Feisal Salum atazungumza hadharani kupitia Clouds Media. Tangu Mgogoro wake na YANGA uanze hii inakuwa ni Mara ya Kwanza anazungumza na chombo cha habari kwa Kina kuhusu Maisha yake ya sasa. Kesho kuanzia saa 12 alfajiri kupitia Power Breakfast ya Clouds Feisal atazungumza. https://t.co/MKaykkrquT