Analyse @1960Remija's tweets
@1960Remija
| 81,008 followers
Yanga ndio timu bora msimu wa 2022-2023 kwenye michuano ya CAFCC kwa takwimu, mfungaji bora, kipa bora, magoli bora na timu ya mashindano. Bingwa ni USM Algier lakini Afrika nzima inaimba wimbo mmoja YANGA. Najivunia sana kuwa sehemu ya kizazi kilichoshuhudia haya mafanikio. ?? https://t.co/6bdFZhD8AA