Analyse @1960Remija's tweets
@1960Remija
| 81,008 followers
Binadamu tumeumbiwa usahaulifu sisi, hapo juzi tuu tulibeba waganga wa kienyeji na hirizi tuliwavalisha wachezaji kwenye kombe la luza. Tukawasha na moto kwa timu iliyokuwa nafasi ya 6 kwenye ligi, mwisho wa siku tulikufa kiume kama kawaida. Msimu ujao mtakuja na jipya gani? ?? https://t.co/oIU0ecWF8g