Analyse @amnsekela's tweets
@amnsekela
| 12,076 followers
Mithali 1: 8-9 Mwanangu yasikilize mafundisho ya baba yako, wala usiiache sheria ya mama yako. Kwa maana hayo yatakua kilemba cha neema kichwani pako, na mikufu shingoni mwako.
Nawatakia Jumapili njema watu wa Mungu. https://t.co/lKhl8OgGgJ
Nawatakia Jumapili njema watu wa Mungu. https://t.co/lKhl8OgGgJ